Mosses Technology Help Company Limited ni kampuni iliyosajiliwa rasmi na serikali, ikifuata sheria na kanuni zote zinazohusiana na biashara nchini. Kampuni ina TIN (Tax Identification Number) na inatoza kodi kama ilivyoagizwa na mamlaka husika. Kampuni pia ina leseni ya biashara halali, ikiruhusu kufanya shughuli zake kisheria.
Mosses Technology Help Company Limited inajivunia kutoa huduma za kiteknolojia kwa viwango vya juu huku ikizingatia uwajibikaji wa kisheria na uwazi wa kifedha.
Leseni ya Biashara ya Mosses Technology Help Company Limited
Mosses Technology Help Company Limited ina leseni ya biashara halali, iliyotolewa na mamlaka husika ya serikali. Leseni hii inaruhusu company yetu kufanya kazi kwa uhalali kabisa
Na kampun yetuy inajivunia kufanya kaz kwa uhalali na salama wa hali ya juu zaidi kwa uwazi
0 Comments